Kiswahili

Автор Vesle Anne, 26 февраля 2024, 01:55

« назад - далее »

Vesle Anne

Nilianza kujifunza Kiswahili Desemba mwaka jana, kwa hiyo ninasema mbaya. Lakini ninapenda sana lugha hii. Bwana @Rafiki, tuzungumze Kiswahili hapa.

Vesle Anne

#1
Nilianza kuzungumza na Chat GPT. Anafahamu kiswahili.
Kwa kweli, ni zana nzuri ya kufanya mazoezi ya lugha yoyote.

Vesle Anne


Быстрый ответ

Обратите внимание: данное сообщение не будет отображаться, пока модератор не одобрит его.

Имя:
Имейл:
ALT+S — отправить
ALT+P — предварительный просмотр